Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Wadau naombeni mnielekeze jinsi ya kuset ungo kupata satelite ya paksat 1r ukianzia urefu unaotakiwa kupima kwenye pipe ya nyuma kutoka ndani ya pipe kubwa ya madish makubwa ya prime focus ya bati na uelekeo wa kushoto na kulia, tafadhalini wadau naombeni mnielekeze.