Msaada tafadhali: Kuhusu TECNO H3

Msaada tafadhali: Kuhusu TECNO H3

A Father

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
1,396
Reaction score
621
Katika TECNO H3 nikigusa redio haiwaki, response inayokuja: Currently not available, Wi-Fi imeganda kwenye: Turning on Wi-Fi, Bluetooth inawaka na kuzima sekunde hio hio inapoguswa. Kipi kifanyike kuweka mambo hayo sawa?
 
Fanya factory reset kwanza then utuambie imekuwaje
 
Back
Top Bottom