Watu wa Madini naomba msaada

Watu wa Madini naomba msaada

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
watu wa madini nahitaji msaada wa kujua haya ni mawe gani au madini gani kuna sehem nimekumbana nayo yamefungwa vizur na kufichwa
 
Picha ya hayo mawe
 

Attachments

  • 1441718612897.jpg
    1441718612897.jpg
    33.8 KB · Views: 293
Kwa kifupi ni ndio yanafaida,kulingana uliyapata vipi,kama umeyaokota tuu ujatumia pesa ,ukiuza utapata faida,lakini kama ulinunua inategemea ulinunua shs ngapi? Hapo litakuwa swala lingine.ni Mawe ambayo pesa yake sio kubwa Ndugu.uwezi kulinganisha na Tanzanite,Green Garnet,Suphire,na Ruby..,na pili ukiwa na yenye ukubwa kuanzia 2gram kwa jiwe. hivi ndio uthamani wake pia uonekana zaidi ,kuliko hivyo vidogo sana.
 
Haya mawe cjanunua mkuu, bali kuna dogo ameyaogot yakiwa yamefungwa ktk nailoni ndogo sana.
 
je naweza kuyauzia wap kwa hapa Dar
 
hehehe kweli macho yangu yamechoka, mi nikadhani ubuyu
 
Yanaweza kuwa rodolite au safaya niko mbali ningekuyafuta mara moja
 
me sijaongea swala la mererani mkuu nimeongelea kuhusu haya mawe. so kua makini na majibu
 
Back
Top Bottom