Msaada: Msaada kwa wataalamu wa Web design na Bloggers

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Kama heading inavyosema,
Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba,
Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER,
Kama kuna mwenye utaalam juu ya hilo naombeni msaada on how to do this
blog yenyewe ni hii hapa MapereceAsante sana kwa ushirikiano wenu
 
no, nilitaka zibaki hapohapo, ila ziwe na page mfano uki click ile job opportunities ifunguge page ya hapo
 
Kama heading inavyosema,
Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba,
Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER,
Kama kuna mwenye utaalam juu ya hilo naombeni msaada on how to do this
blog yenyewe ni hii hapa MapereceAsante sana kwa ushirikiano wenu

Ingia kwenye template-> Edit HTML

CTRL +F utafute neno mojawapo lililopo hapo kwenye Menus kama vile PROJECT ISSUES,

tafuta mahali penye syntax hii:
<li><a href="#">PROJECT ISSUES</a></li>

Hapo kwenye alama ya harsh # unaweka link yako mfano:

<li><a href="http://mapeceree.blogspot.com/pagename.htm">PROJECT ISSUES</a></li>
 
Back
Top Bottom