Nina Samsung Galaxy S4 yangu imedondoka na kudamage screen, haiwaki kabisa, ila LED zinawaka.
Mwenye kufahamu fixing prices ya screen ni ngapi & suggestion za fundi. Shukrani.
Kama uko Dar nenda Sapna au kwa Fundi Sule pale Samora. Kama uko mikoani, ni majanga! Nunua simu nyingine hata kitochi uwe unatumia hadi hapo ukienda Dar, vinginevyo hao mafundi wa mikoani watakuharibia tu!!!

Habari zenu waungwana. Nami pia nimekutwa na majanga natafta screen ya Samsung Galaxy Note 4 (SM-N910C) rangi ya gold. Nipo dar nimecheck maduka ya SAMSUNG mlimani city hawana, SAPNA pia hawana. Changamoto ipo kwenye rangi, kila nakoenda wanazo black na white tu hiyo ya Gold hawana. Nitashkru nikelekezwa sehemu nyingine nayoweza kupata hii kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.