God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,068
Habarini wakuu Nina simu yangu Sony experia z3 yani ikiwa mfukoni huwa inajizima bila mimi kuzima halafu nikiiwasha haiwahi hadi niichaji ndo niwashe iwake. Pia nkisikiliza mziki na earphone huwa inazima ghafla alafu haiwaki na sehemu ya muziki (walkman) huwa inastack Mara kibao nkisikiliza music kwa muda. Sijui kwa nini vitu vingine vipo poa kabisa. Ni mpya nlichukua dukan mwez sasa. halaf haifungui internet kwa line ya airtel ila mambo mengne kimtandao yako poa.
wataalam EMB nipen uzoefu ntatue shida yangu.
natanguliza shukran.
wataalam EMB nipen uzoefu ntatue shida yangu.
natanguliza shukran.