Usilolijua kuhusu strong 4922

Usilolijua kuhusu strong 4922

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
Kwa muda sasa str4922 imekuwa kiboko ya receiver maana ina kila unachokihitaji, sasa kwa sasa katika software iliyotoka kwa ajili ya receiver hizi utaweza kutazama chanel mbalimbali zenye movie kali kali kama vile hbo ambayo ni maarufu sana. Sasa kwa str4922 pekee na yenye software ya 184p utatazama chanel zilizofungwa kwa teknolojia ya power vu.,power vu ni sawa a bisskey ila hii imekuja kwa str4922 pekee..,

Kama unayo rcv hii bado hujachelewa kufaidi chanel hizo, unachotakiwa kufanya ni kupakua latest software 184p toka katika link hapa http://crosat.us/upload/index.php?d...s/Strong WIZKID Files/Strong 4 Middle East.na kama bado hujainunua na unaihitaji unaweza kuni pm nikwambie wapi utaipata original na kwa bei gani. Pia fungua hapa uone chanel zooote zilizofungwa kwa mfumo wa power vu hakika utapenda http://najmsat2017.com/powervu-keys/ NAWASILISHA WAKUU
 

Attachments

  • 1439923735010.jpg
    1439923735010.jpg
    50.4 KB · Views: 179
  • 1439923771116.jpg
    1439923771116.jpg
    48.7 KB · Views: 153
Naikubali sana str4922 hasa baada ya ujio wa power vu maana sasa naweza kutazama chanel za maana sana mfano hbo,animal planet,sony sport nk ambazo hupatikana ktk dstv pekee.,shikamoo power vu,shikamoo str4922
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom