CODE501 Senior Member Joined Apr 19, 2013 Posts 172 Reaction score 113 Sep 8, 2015 #1 Habari za wakati huu wakuu,,, Nina laptop yangu aina ya Acer inatatizo la internal mouse (touch pad) hairespond. Hivyo nalazimika kutumia usb mouse..naomba msaada wenu jinsi ya kurekebisha hili.
Habari za wakati huu wakuu,,, Nina laptop yangu aina ya Acer inatatizo la internal mouse (touch pad) hairespond. Hivyo nalazimika kutumia usb mouse..naomba msaada wenu jinsi ya kurekebisha hili.
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Sep 8, 2015 #2 Ifungue then angalia ule waya wa touchpad unaoenda kwenye motherboard kama umekaa sawa, kama haujachomoka jaribu kuuchomoa then chomeka tena
Ifungue then angalia ule waya wa touchpad unaoenda kwenye motherboard kama umekaa sawa, kama haujachomoka jaribu kuuchomoa then chomeka tena
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,594 Reaction score 1,863 Sep 8, 2015 #3 Ikakataa kwa ushauriwa kende, badilisha touchpad
K kalasinga Member Joined Jun 3, 2015 Posts 12 Reaction score 1 Sep 8, 2015 #4 Ikikataa warudishie ccm
CODE501 Senior Member Joined Apr 19, 2013 Posts 172 Reaction score 113 Sep 8, 2015 Thread starter #5 Nashukuru kwa ushauri wenu wakuu