Kimambo jr
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 207
- 67
Wanajamvi naomba msaada wenu katika kuistaill game nime weka data kama inavyo takiwa lakini game lina maliza kuji instaill na lina endelea kuload kwa mda mrefu bila kufunguka kama kwenye attachment inavyo onyesha msaada wenu tatzo nn hapo asanten sana