Jinsi ya kuanzisha kampuni ya webhosting and domain name registrar

gumya

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
92
Reaction score
22
Habari wakuu,mini ni IT wa kawaida sana lakini nilikuwa na ndoto ya kufanya shughuli hii.Kwa sasa nina mtaji wa kutosha nahitaji kufungua kampuni hii ambapo ningependa kumiliki server zangu mwenyewe na biashara hii ianze kwa ubora mkubwa,hivyo naombeni maelekezo tafadhali:
1. Je,nahitajika kununua vifaa gan ili kuanza shuguli hii katika ubora mkubwa?

2. Nahitaji kuwa na nini au kufanya nini ili kuanza kuuza domain name za kimataifa na hiz zenye extension za tanzania?

3. Ntahitajika kuwa na wafanyakazi wangapi ili kuendesha shughuli hii sawa sawa?
*Naombeni kufahamishwa hayo kwa kina na mengine mengi kama yapo.ASANTENI SANA
 
1. kuhusu server ni bora uwasiliane na kampuni kama lenovo moja kwa moja wabongo watakuzingua tu, lenovo ndio amenunua biashara ya IBM ya server sasa hv ndio supplier mkubwa. wasiliana nao direct bila kupitia mawakala wao wa hapa Tanzania.

2.Kuhusu Domain kama unataka kuinclude hadi za .tz huna budi kuwaona hawa jamaa
Home - tzNIC
ndio wapo responsible ni mtoto wa TCRA na TISPA (mamlaka wa mawasiliano na muungano wa ISP)
watakusaidia kwenye .tz na utapata pa kuanzia kwenye top level domain

3. kuhusu wafanyakazi hapo itabidi ujue ukubwa wa kampuni yako kwanza malizia vya juu hili litafuatia baadae
 
Nimependa maelezo yako lakin haujasema atapata wap hizo extension za kimataifa vile vile orodha ya vifaa anavyo hitajika kununua.
 
Server, Computer, Generator,.......
 
Back
Top Bottom