MTRANSPARENT
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 740
- 204
Wanabod, nnasim yangu htc1 M8 inasumbua. Inaniandikia unfortunately measure has stopped, adobe air has stopped na pia avast mobile inanambia imeditect problem ambazo ndo izo izo zmezotajwa apo juu.
Jaman kwa mwenye utaalam anisaidie coz ata raha ya smart fon inapotea na pia inaatack mno yaan mpaka inaboa plz msaada wandugu wa IT
Jaman kwa mwenye utaalam anisaidie coz ata raha ya smart fon inapotea na pia inaatack mno yaan mpaka inaboa plz msaada wandugu wa IT