Msaada wa duka bora la laptops mwanza.

Msaada wa duka bora la laptops mwanza.

mavangah

Senior Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
113
Reaction score
23
Habar ya mudaa huu wakuu_Natumain humu jamvin ntapata ufumbuz wa heading apo juu, Nko mwanza kikaz ila soon nmejiunga na chuo kmoja cha IT hivyo nahtaj Laptops kama Nyenzo
Kwa bahat mbaya nmejarib kuzunguka hapa mwanza kutafta duka lenye laptops zenye ubora ila nmegundua nyingi hazina ubora tena n feki za kichina na bei yao iko juu sana. Nmejarb kutembelea baadh ya maduka km Bhatt electronics, ran solutions, a&acomputers, semira na duka moja la muhnd pale seif plaza, yte yana poor laptops. Hivyo naomba msaada wenu n duka gan naweza pata quality computer ya HP 500gb 4gb Ram core i3. Ahsanteeni
 
Nenda Otonde Electronics Mtaa wa Pamba. Utapata vifaa bora kabisa.
 
Habar ya mudaa huu wakuu_Natumain humu jamvin ntapata ufumbuz wa heading apo juu, Nko mwanza kikaz ila soon nmejiunga na chuo kmoja cha IT hivyo nahtaj Laptops kama Nyenzo
Kwa bahat mbaya nmejarib kuzunguka hapa mwanza kutafta duka lenye laptops zenye ubora ila nmegundua nyingi hazina ubora tena n feki za kichina na bei yao iko juu sana. Nmejarb kutembelea baadh ya maduka km Bhatt electronics, ran solutions, a&acomputers, semira na duka moja la muhnd pale seif plaza, yte yana poor laptops. Hivyo naomba msaada wenu n duka gan naweza pata quality computer ya HP 500gb 4gb Ram core i3. Ahsanteeni

Shukran sn mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom