Genisys
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 160
- 93
salaam wanajamvi...
Nahitaji msaada kiundani kuijua vizuri hii kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, pia hiyo kozi inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management yake iko vipi?
Natanguliza shukraan za dhati
Nawasilisha wakuu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums