Jinsi ya kuweka picha

Jinsi ya kuweka picha

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
658
Reaction score
314
Wadau naomba mnijuze jinsi ya kuatachi picha katika NYUZI kwa kutumia simu,natumia blackberry bold,9700
""VV"""
 
4XrdCVNYmbKXg8oeKx3Q0Co-qvu7Y1kSBtkUkPyr0B8MeAGivg8_xOlZAJ2DhC7WgqRS=w705
 
ANGALIA PICS INFORMATION THEN INAKILI KTK KARATASI THEN ANZA KWA
url] KWA
USIACHE NAFASI THEN POST
 
Mii mwenyewe huwa napata shida sana,niki upload from ma mobile,ukianza kufunga diirisha,dirisha linakuwa lina rudi palepale,mpka naamua kuacha na kufungua kawaida
 
Najjaribu wakuu hiyo njia ya hapo juu http//
 
Back
Top Bottom