Jinsi ya kuondoa matangazo katika samsung tablet 10.1

Jinsi ya kuondoa matangazo katika samsung tablet 10.1

trigger

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
95
Reaction score
25
wadau naomba msaada jinsi ya kuondoa matangazo katika tablet kwan imekua kero sana kila napofanya ktu matangazo yanatokea,nimejaribu sana kutumia jelly bin,adaway zote zimegoma,
 
Dawa ya kuondoa ads ni kununua paid apps but free apps lazima wakuwekeee ads coz ndo faida yao
 
wadau naomba msaada jinsi ya kuondoa matangazo katika tablet kwan imekua kero sana kila napofanya ktu matangazo yanatokea,nimejaribu sana kutumia jelly bin,adaway zote zimegoma,

sikia hayo yote yanasababishwa na Google Play service na google play app...hizi app 2 ukizi remove permanently (root) hutapata tena Ads
 
au una adware, hayo matangazo yanatokea sehemu gani au ukiwa unafanya nini
 
Back
Top Bottom