Namna ya kuanzisha blog

Namna ya kuanzisha blog

Joweba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
166
Reaction score
87
Habari zenu wakuu,
naombeni msaada maana nataka kuanzisha blog, kama kuna anayefahamu procedures za kuanzisha blog tafadhalini naomba help, ikibidi naomba na faida ya kuwa na blog.

Much respect to all.
 
Hi.

Nakusahauri ukaulize swali hili kule Tech forum. Au ukapitie older threads juu ya blog.

Hapa Jukwaa la Uchumi na Biashara Uje Uulize Jinsi ya Kutengeza Pesa Kupitia Blog. Jukwaa sahihi litakusaidia kupata msaada sahihi kwa wakati.

Kila la kheri.
 
Habari zenu wakuu,
naombeni msaada maana nataka kuanzisha blog, kama kuna anayefahamu procedures za kuanzisha blog tafadhalini naomba help, ikibidi naomba na faida ya kuwa na blog.

Much respect to all.

Mkuu nicheki 0656 540271 au ni PM nitkueleleza kwa upana zaid
 
Back
Top Bottom