Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naomba kufahamishwa kuhusu hii app kama inasaidia ktk simu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu wana jf jana nilikua naangalia movie kwenye laptop yangu ghafla ikaandika your pc experience some problem neesd to restart ikarestart tokea hapo screen haionyeshi kitu chochote inakua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu msaada nna iphone 4 tatizo haikai na chaji kabisa na inapata moto sana ukiwa unatumia net,mwenye kufahamu ufumbuzi wa tatizo hili naomba anielimishe
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Habari wana jamvi, nmeroot simu yangu ya tecno y3. Android ya simu ni 4.4.2 . Sasa nataka kuiupgrade kwenda 5.0+ nisaidieni wakuu
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jaman kwa aliye na unlimited ya halotel ya simu ya mwezi naomba anisaidie. namba yangu 0783905864
0 Reactions
16 Replies
6K Views
,
0 Reactions
18 Replies
6K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau habari zenu ...nataka kujifunza graphics asa tatizo sina adobe ....naomba msaada kwa anaejua eneo wanapouza kwa ku burn anisaidie ....please its urgent ...ntashkuru ikiwa leo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mwanajf yeyote anayo au anajua inapopatikana naomba hanijulishe pia na bei yake itakuwa vizuri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, habari zenu. Naomba msaada kwa mwenye utaalamu. Nilimwomba rafiki yangu salio (airtime). Kwa upendo wake ili nisipate shida ya airtime akanitumia kiasi cha fedha ambacho kwangu nakiona...
0 Reactions
2 Replies
696 Views
wADAU,, laptop yangu haipati internet kwenye wifi ingawaje kila kitu kinaonekana connected,,nikifungua browser ina kataa kufunguka..je tatizo linaweza kuwa nini.lakini network inaonekana ina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
juzi imenyesha mvua kubwa mpaka maji kuingia ndani kwa kiwango kikubwa sasa maji yakajaa kiwango cha kufunika compressor ya fridge ka robo tatu yake sijaiwasha bado ila nilifungua nyaya za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natumia hp ila juzi nimepiga waindow 8.1 ila baada ya kupiga tyuu window nkiiwasha hainiletei boot menu msaad wadau ila kuwaka inawaka fresh na naitumia bila ttzo ila ndo hapo haina boot
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Habar za kazi wadau, Hivi haya makampuni ya simu za mikononi yanaweza kutoa taarifa kwa mteja akiitaji kujua taarifa ya account yake ya pesa kama wanavyofanyiwa wenye account kwenye mabenki?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba msaaada wenu kila nikiangalia salio hainionyeshi inaniandikia (connection problem or invalid MMI code) So anaejua tatizo naomba anielekeze namna ya kufanya, nimecheki kwenye Network...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Kama simu yako ina support 4G.. Now unaweza kupata 4G saaafi from Tigo.... Keep it up Tigo...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Heshima kwenu wakuu. Nafika hapa jamvini kuomba magwiji wa Gadgetry mnisaidie kupata suluhisho la tatizo kwenye laptop yangu. Ni HP 250 G3 NOTEBOOK. Niliipata ikiwa brand new na ninayo mwezi wa...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Wakuu nauliza namna ya kuchonga special number kupitia hawa halotelk je ni mpaka freelancer au naeza chonga mwenyewe then nkaisajili kama ilivo kuwa tigo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni htc Android version ni 4.2.2
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Pattern imekuwa drawn more than needed times sasa simu inataka nitumie google account lakini inagoma kwakuwa siko connected data, msaada please
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Back
Top Bottom