Msaada:Simu yenye 4G

Msaada:Simu yenye 4G

Simu gani kwa sasa zinazotumia 4g na bei yake haizidi 150k

kwa sasa sidhani kama utapata, ila zikianza kutoka simu za snapdragon 201 zitakuwa nyingi tu kwa kipindi cha miezi ijayo.

ila ipo huawei Y550-L01 ina 4g kwa around 200k sometime hadi 300k, pia zipo moto e ila ngumu kuzipata huku kwetu.

huyu jamaa alikuwa anaziuza 200k ila naona ghafla kazipandisha bei hadi 300k unaweza jaribu ongea nae kama atashuka

http://www.kaymu.co.tz/huawei-ascend-y550-smartphone-black-50450.html
 
Mkuu Chief-Mkwawa natumia line ya tigo kwenye E7... Simu yangu ina 4G lakini nilienda pale tigo kuwaambia kuhusu hii 4G,, wanadai eti niwape ten thousands ili wanipe line yenye 4G.. Itakuwa ni hii hii number yangu.. Nakaona wananizingua nakasepa zangu,, je naweza kutumia 4G kwa simu yangu kweli..?
 
Last edited by a moderator:

hadi uwe na line yao, alternative ni smart
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa hivi type ya display ya galaxy core prime ni nzuri inaitwa CAPATIVE SCREEN na vip ipo kwenye ranks zipi ukiilinganisha na super amoled
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa hivi type ya display ya galaxy core prime ni nzuri inaitwa CAPATIVE SCREEN na vip ipo kwenye ranks zipi ukiilinganisha na super amoled
Capative Ni Aina ya touch na si display, kuna capative na resisitive. Resisitive Ni zile simu za zamani za touch ambazo ili utouch hadi utumie kijiti au kucha ILA capative Ni hizi za sasa zinazokubali vidole.

Hivyo vioo vyote vya sasa Ni capative hata amoled Ina layer ya capative.

Nimecheki specs hawajaandika aina ya kioo, ukiona watu wanaficha aina ya kioo ujue hicho Ni TFT LCD sababu ingekua Ni ips au super amoled wangeitangaza hadi ukajua.

Pia Samsung Hana tabia kutumia amoled kwenye simu za bei rahisi. Kama umezoea vioo vizuri Ni vyema ukaitafuta hio core prime uangalie kama display yake inakidhi viwango vyako
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa kuna hii Huawei Ascend Y5c (halor bee), yenyewe unaizungumziaje? Pia Halotel wanauza Samsung Galaxy A3 na yenyewe unaionaje?
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa kuna hii Huawei Ascend Y5c (halor bee), yenyewe unaizungumziaje? Pia Halotel wanauza Samsung Galaxy A3 na yenyewe unaionaje?
Hio huawei Ni simu decent ILA kwa sh ngap? Maana kuna y550 yenye specs nzuri zaidi around 200,000 hadi 300,000

Na galaxy A series Ni premium device, zinatengenezwa na material mazuri ILA pia bei yake IPO juu, galaxy j series zinakuwa na specs kama A series sema kwa bei rahisi na Ni za plastic.

Bei zinaendaje
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chief-Mkwawa natumia line ya tigo kwenye E7... Simu yangu ina 4G lakini nilienda pale tigo kuwaambia kuhusu hii 4G,, wanadai eti niwape ten thousands ili wanipe line yenye 4G.. Itakuwa ni hii hii number yangu.. Nakaona wananizingua nakasepa zangu,, je naweza kutumia 4G kwa simu yangu kweli..?

Line ni bure walitaka kukupiga
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa kuna hii Huawei Ascend Y5c (halor bee), yenyewe unaizungumziaje? Pia Halotel wanauza Samsung Galaxy A3 na yenyewe unaionaje?

Krait hao halotel wanauza sh ngap hio A3 coz nahisi itakuwa na mibando ya internet ya kumwaga tujuzane
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom