SoS:Network Help!

SoS:Network Help!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Wadau, habari zenu.
Naomba msaada kwa mwenye utaalamu.

Nilimwomba rafiki yangu salio (airtime). Kwa upendo wake ili nisipate shida
ya airtime akanitumia kiasi cha fedha ambacho kwangu nakiona kikubwa sana!

Sasa mimi ninataka nichomoe hapo kiasi nikiingize kwenye akaunti yangu ya M-Pesa.
Salio alilonitumia liko kwenye line yangu ya voda.

Ntawezaje kumega kiasi kwenye hilo salio ili nipeleke kwenye MPesa?
Nawaombeni msaada wandugu.
 
Haiwezekeni!!
Hata mie nshahisi hivyo baada ya kutembelea tovuti ya vodacom na kutoona chochote kinachofanana na hicho, wala sehemu ya wateja wa voda kutoa mawazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom