J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,184
- 2,702
juzi imenyesha mvua kubwa mpaka maji kuingia ndani kwa kiwango kikubwa sasa maji yakajaa kiwango cha kufunika compressor ya fridge ka robo tatu yake sijaiwasha bado ila nilifungua nyaya za kuelekea kwa compressor nikazifuta maji na kuzisafisha ila sijaiwasha bado leo siku ya pili kwa mtaalamu msaada tafadhari. The same kwa pasi ya umeme nimeifungua na kukausha
maji je inaweza kuwa salama kwa matumizi?.
maji je inaweza kuwa salama kwa matumizi?.