nawezaje kuepuka tatizo la simu kugoma ku install app

nawezaje kuepuka tatizo la simu kugoma ku install app

Download apps kupitia browsers kwa kuandika jina la app af unamalizia na maneno apk free download.Then utaweza ku download setup ya hio app na ku install manually.
Hakikisha umeruhusu install from unknown source kwa kutiki kibox
 
Back
Top Bottom