Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Halafu Naomba kuuliza mbona kwenye menu ya mobile styles JF touch haipo tatizo nini? Ni kwenye simu yangu tu au na wenzangu pia nasubiri jibu
kwenye operamini inaonekana jf touch option, unless unatumia jf free wanayotoa Tigo Tanzania ndio hutopata.
Labda kama sijakuelewa.
kwenye operamini inaonekana jf touch option, unless unatumia jf free wanayotoa Tigo Tanzania ndio hutopata.
Labda kama sijakuelewa.