Naomba msaaada wenu kila nikiangalia salio hainionyeshi inaniandikia (connection problem or invalid MMI code)
So anaejua tatizo naomba anielekeze namna ya kufanya, nimecheki kwenye Network Settings kule lakini bado hakuna lolote.
Tatizo ni hilo tu, naitumia vzr saaana ila tatizo ndyo Hilo, naomba Msaaada wenu