Your pc experience some problems

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu wana jf jana nilikua naangalia movie kwenye laptop yangu ghafla ikaandika your pc experience some problem neesd to restart ikarestart tokea hapo screen haionyeshi kitu chochote inakua black tu jamani naombeni msaada wenu
Asanteni
 
Harddisk inaelekea kufa hapo,kwa ushauri unaweza kupiga windows tena kwan windows za kibongo tunazotumia sio geniun so kurepair inakuwa ishu.Ili kujua km harddisk yako inashida fanya hivi
1.restart computer yko
2.inapotaka kuwaka bonyeza boot key(f12/f9)
3.choose diagnose,so itaanza kudignose na km kuna shida kwenye hdd itakwambia interms of codes
 
Asante ndugu lakini pc haionyeshi chochote kwenye screen yaani ni keypad ndo zinaonyesha kwamba pc ipo on screen haionyedhi chochote
 
Nadhani pc yako ina windows 8,8.1. Maana tatizo hilo huzikumba sana pc zenye os ya windows 8/8.1. Kama nikidhaniacho ni kweli, basi unatakiwa urepair windows kwakutumia installation cd/flash au kama ikishindikana itabidi uinstall windows nyingine ila hakikisha baada ya hapo unaisearch na kuinstall updates kila baada ya kipindi flani ili windows yako iwe stable.
 
Asante Ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom