Mobile money services

Mobile money services

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
2,797
Reaction score
1,594
Habar za kazi wadau, Hivi haya makampuni ya simu za mikononi yanaweza kutoa taarifa kwa mteja akiitaji kujua taarifa ya account yake ya pesa kama wanavyofanyiwa wenye account kwenye mabenki?
 
Taarifa gani? Kama Ni hizi ndogo ndogo unaweza ndio ILA wanachaji hela kama sh 50 hv. Mfano kwa tigo pesa kuna menu imeandikwa account yangu ukiingia hapo utakuta huduma ya aina hio
 
Taarifa gani? Kama Ni hizi ndogo ndogo unaweza ndio ILA wanachaji hela kama sh 50 hv. Mfano kwa tigo pesa kuna menu imeandikwa account yangu ukiingia hapo utakuta huduma ya aina hio

Mkuu namaanisha taarifa kama ya siku sitini.
 
Mkuu namaanisha taarifa kama ya siku sitini.

Unapata lakini za siku zote hizoo am not really sure.. Watakupa za siku kadhaa hata week zinaweza kuja maana inakuaga ni sms moja tuu yenye hizo taarifa... Sasa kama za siku 60, Hiyoo sms itakuaje mkuu.
 
nenda kwa wakala mkubwa utatolewa hata za mwaka, ila utalipia kidogo
 
Wanatoa hata ya mwaka, ukiingia kwenye menyu kuna mahali unaulizwa lini mpaka lini, na nadhani unaweka email yako wakutumie huko.
 
Back
Top Bottom