wADAU,, laptop yangu haipati internet kwenye wifi ingawaje kila kitu kinaonekana connected,,nikifungua browser ina kataa kufunguka..je tatizo linaweza kuwa nini.lakini network inaonekana ina fika...na jana nilikuwa napata net,,na hata leo simu yangu inapata net kwa kutumia hiyo wifi..