Msaada: Pc yangu inashindwa ku-install hii program.

Msaada: Pc yangu inashindwa ku-install hii program.

Transcend

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
20,553
Reaction score
63,061
Habari za kazi wakuu?

Laptop imekuwa na tatizo ambalo silielewi, nimekuwa nikajaribu ku-install program inayoitwa artilantis studio kwa ajili ya rendering ya jengo..

Kila ninapojaribu kufanya hivyo inaleta alert ya "" CAtl4_64.dll is missing "

Naomba msaada hasa wa link kudownload hiyo CAtl_64.dll
 
Alert inayotokea ni hii hapa..
 

Attachments

  • 1446795012217.jpg
    1446795012217.jpg
    10.1 KB · Views: 130
Jaribu kuDownload hiyo dll hapa: http://www.dll-files.com

Mkuu ,

Baada ya kuifata hiyo link zinakuja dll files nyingi ,sasa uki-search CAtl4_64.dll inakuwa haipo badala yake wana-suggest CAtl6_64.dll..

Nime-install hiyo CAtl6_64.dll ila bado ile program haijakubali...

Kuna Njia mbadala tena?
 
Unatumia window gani hiyo dll inaonekana. Inahitaji windows ya 64bit
 
Back
Top Bottom