Namtafuta Albert Komba

Namtafuta Albert Komba

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Ndugu huyu ni ngulli wa kutengeneza Mobile Applications anasoma IFM kwa bahati mbaya nimepoteza namba zake yeyote anayemfahamu anitumie namba yake PM tafadhali.
 
Kumbe unajuwa hadi anaposoma, pili jina lake unalijuwa si msearch huko Facebook? mbona Watanzania ni magoigoi sana?
 
Aisee kote nimetafuta simpati. By the way niko nje ya mipaka ndo maana unaona nahangaika.
 
Tafuta classmates wake. Kama hutopata hapo basi tumia hata Radio au Tv, kuna vipindi maalum.
 
promo zingine bhana. kama ni bingwa atakuwa ameweka izo application play store mtafute huko.
 
Ndugu huyu ni ngulli wa kutengeneza Mobile Applications anasoma IFM kwa bahati mbaya nimepoteza namba zake yeyote anayemfahamu anitumie namba yake PM tafadhali.

mkuu huku kwenye hili jukwaa ni wachache sana wanatembelea.nenda jukwaa LA elimu or habari na hoja mchanganyiko ni rahisi sana kumpata tofauti na huku
 
Ahsante nitaiweka kule
 
Back
Top Bottom