Laptop HP haitoi mwanga,help me please!...

Laptop HP haitoi mwanga,help me please!...

House of Commons

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
2,189
Reaction score
2,214
Sijawahi kutumia aina hii ya laptop, haitowi mwanga (lighting). wakati wa usiku inabidi nitumie mwanga wa taa au tochi ili niweze kuchapa namba au kutumia tu kwa ujumla. Nadhani ni kazi ndogo sana, ila mi nimenyoosha mikono, siwezi kutatua shida hii, nipeni msaada wapendwa
 
ndio ulinunua ikiwa hivyo?

we utakuwa umebonyabonya na ku-light off keyboard
 
1-Ina run window gan
2-Kacheki graphic driver installation kwenye Device Manager
3-Kama imeget installed Update it
4-Na kama haipo nenda kwenye website za Hp utafute model ya laptop yako then udownload graphic driver..😛oa
 
Mkuu hiyo ina keyboard na sio keypad ....keyboard nyingi hazina led light kama ilivyo keypad.... Usishangae sana ndivyo ilivyotengenezwaa nakama zipo zenye mwanga ni chache sana....
 
Tatizo sio driver ila kwa mawazo yangu itakuwa imeunguza bulb ambazo huzalisha mwanga Kama Una idea na mantananc jaribu uone
 
jaribu kuconnect monitor kupitia cable ya vga ili kuona kama hiyo external monitor itaonesha vizuri na kutoa mwanga; na kama ikiwa monitor ikikubali kuonesha vizuri ujue kuwa display ya laptop yako ni mbovu na kama monitor itakuwa inaonesha kama hiyo display ya laptop, ujue kuwa utakuwa umeadjust mwanga kwa kubonyeza kitufe flani au laptop yako itakuwa imemiss drivers, kwahiyo utabidi utumie software kama driverpark solution, au utumie resource/driver cd za hiyo laptop kama ipo au ukadownload windows updates ambazo hubeba na drivers.
 
Back
Top Bottom