wakuu naombeni mwongozo...touchpad ya pc yangu[samsung] sometimes haisensi kabisa na pia wakati mwinginr inamisbehave,mfano inaweza kushindwa ku move kabisa pointer...au pointer ina move direction moja tu hata...msaada tafadhali
Inatokea wakati gani? ukiwa umechomeka adapter? mara nyingi inakua ni adapter au battery
Kuhakikisha jaribu kutumia pc bila kuichomeka kwenye charge na uangalie touch pad kama itaendelea kusumbua
Pia jaribu kuweka battery lingine uone pia kam tatizo litaendelea.
hapo mchawi ni adaper
wakuu naombeni mwongozo...touchpad ya pc yangu[samsung] sometimes haisensi kabisa na pia wakati mwinginr inamisbehave,mfano inaweza kushindwa ku move kabisa pointer...au pointer ina move direction moja tu hata...msaada tafadhali
ni kweli wakati inatokea nikichomeka adapter...ila mara nyingi sana inatoke nikiwa sijachomeka k2 chochote mkuu
Mbovu hiyo, nunua macs(apples) samsung itakusaidia kwa kamuda tu!
Hakunaga, ila bei zake zimechangamka! Kama una hela za mawazo usijisumbuwe!sasa apple ndo haiwez face tatizo la touch pad?
Hakunaga, ila bei zake zimechangamka! Kama una hela za mawazo usijisumbuwe!