Last edited by a moderator:
sawa mkuu nina imani mungu atajalia tu somo lilikuwa zaidi ya darasakwanza kabisa nasikitika kwa wanafunzi waliokuwa wakifuatilia masomo ya mkuu Msamiati (RIP).
pili, mkuu msamiati alikuwa anajitolea kuwapa masomo na sio kuwa alikuwa akilipwa ama vipi, kwa hiyo inabidi kuwa wavumilivu atakapojitokeza mwingine kujitolea kutoa masomo basi tutaendelea...