Toshiba Display maintenance

Toshiba Display maintenance

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,807
Habari zenu wakuu. PC yangu kampuni ya Toshiba imepasuka display, wapi Fundi mzuri naweza kureplace display?? Gharama zake zikoje?

Asanteni
 
Habari zenu wakuu. PC yangu kampuni ya Toshiba imepasuka display, wapi Fundi mzuri naweza kureplace display?? Gharama zake zikoje?

Asanteni

Mkuu upo wapi nina display ya 15.6" kama unahitaji tufanye biashara nakuuzia kwa bei ya kutupa na matengenezo yake nakufanyia bure,
 
Back
Top Bottom