Msaada jaman

Msaada jaman

Braibrizy

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
29
Reaction score
548
Habari zenu wana jamii forums,nmekuwa na utata wa muda mrefu wa kutaka kujua kama inawezekana ku hack wifi ambayo iko protected na password either kwa kutumia any android application au kwa kutumia njia nyingine yoyote kwa sababu hizi Mb 1 zinatuuwa jamani
Naomba kuwasilisha...👆
 
Kwa application za android sahau uwongo mtupu labda issue za pc appl tech
 
Back
Top Bottom