baada ya kuroot simu ilibidi niconvert setting km user app kw titanium backup coz simu ilikuw inadisplay "unfortunately setting has stopped" baada ya hapo nikaiflash simu,,ilivyowaka setting...
Wakuu naombeni mwongozo, touchpad ya PC yangu [samsung] sometimes haisensi kabisa na pia wakati mwingine ina-misbehave, mfano inaweza kushindwa ku-move kabisa pointer au pointer ina move...
simu yangu nitecno m5. tatizo linalosumbua ni hizi google adds. yani nikiweka data on zinafutana hizo adds mfurulizo hadi nashindwa kufanya chochote. naombeni kwa anaefahamu anisaidie jinsi ya...
Wanaukumbi.
Habari za wasaa huu Nawakaribisha Ma Technian tushare uzoefu wa vifaa hivi ambavyo ni usefull sana katika application mbali mbali
1. Motor is electrical machine which convert...
Wakuu jf habarini
Nikiwa ni mojawapo ya wanafunzi tuliobaki njiapanda kwenye darasa la web development baada ya kifo cha Msamiati R.I.P MSAMIATI naomba kujua kama kuna mtu atakuja kuliendeleza...
HP yangu laptop elite book840 haisuport lain ya ttcl eti inanidai ussd code oakin voda na tgo natumia vizuri tu..
NB;- hii laptop inasehemu ya kuchomeka lain ya simu kwa ajili ya network....!!
Habari,, nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu aliyeko call centre kusoma meseji zako unazotumiwa na mtu mwingine au kusikiliza maongezi,,na pia kuna uwezekano wa mtu kujua full namba ya mtu...
BlackBerry's new phone, the Priv, came out on Friday. But will it be the last new phone the company ever makes? Perhaps.
BlackBerry (BBRY, Tech30) has struggled mightily in the...
Sijawahi kutumia aina hii ya laptop, haitowi mwanga (lighting). wakati wa usiku inabidi nitumie mwanga wa taa au tochi ili niweze kuchapa namba au kutumia tu kwa ujumla. Nadhani ni kazi ndogo...
Habarini wakuu.
Ninatumia simu tajwa hapo juu ambayo niliinunua kwa kampuni moja ya simu nchini, sasa kwa sehemu niliyopo saizi hakuna huduma ya 3G kwa huo mtandao, lakini umekuja huu mtandao wa...
Habari za kazi wakuu?
Laptop imekuwa na tatizo ambalo silielewi, nimekuwa nikajaribu ku-install program inayoitwa artilantis studio kwa ajili ya rendering ya jengo..
Kila ninapojaribu kufanya...
Hivi karibuni kumekuwa na tatizo la watu wasio wema kushambulia mtandao huu ili kunyima uhuru wq kujieleza.Natambua umu kuna wataalamu wa IT pia na mnanufaika kupitia JF kuwepo kwa kupata habari...
Habari zenu wana jamii forums,nmekuwa na utata wa muda mrefu wa kutaka kujua kama inawezekana ku hack wifi ambayo iko protected na password either kwa kutumia any android application au kwa...
Habari ndugu wana jf jana nilikua naangalia movie kwenye laptop yangu ghafla ikaandika your pc experience some problem neesd to restart ikarestart tokea hapo screen haionyeshi kitu chochote inakua...
wakuu msaada nna iphone 4 tatizo haikai na chaji kabisa na inapata moto sana ukiwa unatumia net,mwenye kufahamu ufumbuzi wa tatizo hili naomba anielimishe