Message tracking katika simu

Message tracking katika simu

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
884
Habari,, nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu aliyeko call centre kusoma meseji zako unazotumiwa na mtu mwingine au kusikiliza maongezi,,na pia kuna uwezekano wa mtu kujua full namba ya mtu aliyekutumia hzo meseji? au atafahamu baadhi ya tarakimu zilizopo kwenye hyo namba inayokutumia mesej
 
Nafikiri wataalam wananamna ya kutrack kwa kumi install apps flani flani
 
Habari,, nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu aliyeko call centre kusoma meseji zako unazotumiwa na mtu mwingine au kusikiliza maongezi,,na pia kuna uwezekano wa mtu kujua full namba ya mtu aliyekutumia hzo meseji? au atafahamu baadhi ya tarakimu zilizopo kwenye hyo namba inayokutumia mesej

Ndio lakini huwa wanatumia system/app maalum kufanya hivyo...kuna mtu mmoja Facebook anatumia jina la "Eng Raymond Max" huwa anafanya huo utundu kwa kusema watu waweke namba zao za simu halafu anawambia call/sms zilizoingia muda mfupi uliopita katika simu zao na hadi zile za WhatsApp na google account
 
Nackia harufu apa anyway ngoja tusikilizie watakaolizwa
 
khy ina maana anaweza kusoma meseji
 
Back
Top Bottom