Habari,, nauliza hivi kuna uwezekano wa mtu aliyeko call centre kusoma meseji zako unazotumiwa na mtu mwingine au kusikiliza maongezi,,na pia kuna uwezekano wa mtu kujua full namba ya mtu...
Guys am trying to switch on my laptop,
Everythng is okay but the problem is that the laptop can't display anything it remain as a black screen
guys i dont know the problem plz help me to solve this
External hard disk yangu haifunguki / haisomi nikiunganisha kwenye computer, naomba mnijuze tatizo ni nini na mafundi wazuri au wataalam wako wapi jijini DSM. Natanguliza shukrani
Nimesoma mahali na kupata hii info kwamba TANZICT(BUNI HUB as a division) ikiwa chini ya Wizara ya sayansi na Teknolojia wakishirikiana na serikali ya finland wana mpango wa kutumia taka...
Hii ni kwa wakuu wa biashara ya mitandaoni,
Tunatengeneza blogs,AdSense account pamoja Facebook multi group poster Bei zetu ni nafuu mno na kama utatupa nafasi ya kukufanyia kazi...
wakuu,kama title inavojieleza
sijawah weka pasword,napenda kujua namna ya kutoa hyo meseji,kwani nikibofya zaid ya mara 3 inaleta ujumbe wa kufail na code flani hivi. kwa anayejua anisaidie kwani...
Nilisoma post ya mdau mmoja kuhusu kuroot simu. Nimejaribu kuroot simu yangu samsung galaxy s3 neo na ikashindikana. Tatizo ni kuwa adds zimekuwa nyingi mpaka zinakera, sasa kwa anaejua anisaidie...
Simu yangu Nokia Lumia 625 inajizima yenyewe,hili tatizo limeshatokea kama mara mbili/tatu sasa,mwanzo ilijizima haikuwaka mpaka nilipoiweka kwenye charge,leo imitokea tena asubuhi ilijizima...
Wana JF nisaidien nifanyeje ili simu yangu ipone, ni tecno p5 ilizima baada ya kuishiwa chaji sasa nilpoichaji na ikajaa sasa imegoma kuwaka kabisa. Leo siku ya tatu najaribu inashindikana lakini...
Tokea nianze kutumia simu, mitandao yote (airtel, vodacom, tigo na zantel) huku inashika internet yenye kasi ndogo sana (egde) na kama ukitaka 3G basi lazima utoke nje nayo ni kwa shida, jana kama...
Yamenikuta haya leo.. Imedondoka umbali mrefu sana..Lakini still its working na iko fresh sema ukiiangalia haitamaniki kabisa.... Mwanzo nilikuwa nasikia tuu kuhusu haya mambo ya Corning...
Wakuu habari zenu nokia x2 yangu haitaki maswala ya google services nifanyeje nia yangu ni kudownload android apps halafu je ni windows phone au android?
Wadau nilidownlod hii adaway app baada ya kuroot simu yangu sasa Leo nilifungua hii app nimekutana na Ujumbe huu-ROOTED ANDROID REQUIRED(either the su binary could not be found or you did not...