Habari zenu wana jukwaa, i hope mko poa.
Mimi nina tatizo moja simu yangu aina ya techno h6 camera yake imegoma kufanya kazi kila nikienda kwenye camera inaniandikia hivi Can not connect to...
Wakuu naomba msaada kujuzwa ni kwa namna gani naweza kubaini mtu anayeitumia simu yangu na mahala alipo baada ya kuipoteza iwapo ninafahamu imei number ya ile simu.
Ebana nina shida na jinsi ya kushare computers kwenye printer moja, nilicheki youtube video zake zinaelekeza vizuri ila kuna baadhi ya computer hazionekani kwenye hii computer yenye printer, yaani...
Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi na matumizi makubwa ya internet hasa mitandao ya kijamii,Nijuze inayo furaha kutambulisha mfumo ambao utaleta manufaa ya kiuchumi kwa...
Nashare na wana JF wenzangu hii ofa ichangamkie fasta kama una laini ya tigo inayoanziwa na 067 na sio 071 au 065 ila ni kwa 067 pekee Bonyeza *148*01*31#ok ili ujipatie bando la GB 10 ndani ya...
Kipindi cha nyuma nilikuwa natumia pirate bay blowser app kushusha mafaili ya torrent katika simu yangu ikaja ikagoma, ikawa inaandika "proxie unavailable" nikaweka kickass pro ikawa inafanya kazi...
Wakuu, kuna tofauti gani kati ya 4G na 3G?. Nimeenda kwa watoa huduma hiyo hapa mkoani kwangu wakaniambia kwa hapa bado hawajafunga mtambo wake na hata wakifunga simu yangu TECNO H6 haiwezi sapot...
Hii ni bonge la simu kwa wale wenye budget ya kawaida, bei yake ni 225k ina kioo cha 5 inches ram 1 gb iko stable sana hivyo kama una mpango wa kununua simu na budget yako ni ya kawaida basi...
Nmeona watu kadhaa wakitumia internet ya bure na naumia jinsi ambavyo makampuni ya simu yanavyotunyonya sisi walalahoi. Walipokuwa wakipiga kampen ya matumiz ya mkongo wa taifa walidai bei ya...
Kazini kwangu tunatumia network moja kweny pc zote, katka computer ninayotumia mm haina wireless card, je nawezaje k connect na simu yangu nikatumia Internet
Wanatech., ni simu gani inayotumia os mbili tofauti mfano Window & Android kwa wakati mmoja kama ambavyo baadhi ya pc huwa zinakuwa na os mbili ambapo wakati wa kuwasha inakupa option ya kuchagua...