Samahani waungwana nimekuwa nikitumia smartphone za kampuni ya tecno .sasa nataka nihame kwenye aina nyingine ya sumu.
Napenda simu screen size iwe 5.5",iwe unachukua laini mbili,iwe na...
Nafikiria kununua Step-up transformer, kufunga nymbani kwangu kama ifuatavyo
Umeme wa Tanesco ukiingia kwenye meter,
baada ya hapo nafuga resister kutoka kwenye meter ili nipate umeme Mdogo...
samahani wakuu wa hili jukwaa.
nashindwa kudownload nyimbo na videos
kwenye whatsapp. kila ikianza
kudownload inazungusha kile kimduara
mpaka mwisho halafu hamna chochote
imedownload. tupeane...
habari wana jamvi, naombeni msaada wa kutoa hii error (retriving information from server) maana nashindwa kundownload application yoyote kwenye google play store, asanteni
Jamani Naombeni Msaada wenu wa Ushauri katika Kununua Subwoofer hii ya Aborder.. Nimeziona Hapa Town Wanaziuza Nyingi tu Katika Maduka...
Budget yangu ni 100k. Je Zina. ubora.. Asanteni
Wakuu salama nyote ? mm ni fundi umeme wa magari baada ya kukaa nakufikilia nimehisi kuwa control ya air bag/SRS yaweza kuwa sawa na black box kwenye ndege kwa kuwa ndege ikipata ajari huwa...
Habari wadau,
Naleta ombi langu kwa unyenyekevu mkubwa nikitambua kuwa humu ndani kuna wajuzi wa mambo kwa kina cha kutosha.
Naomba kufahamishwa kama kuna njia ya kuunganisha blog iwe inapost...
Habari wakuu humu ndani
Naomba kuuliza google adsense zinaweza kutumika kwenye subdomain km blogspot nk
Na je unatumia njia gan kuiweha
Mi natumia blogspot,lakn adsense inagoma
Msada wakuu
Wakuu naomba msaada wenu, hii mashine imenisumbua vibaya sana haikubali keyboard
wala mouse, ina ports nane(8) za USB lakini hakuna hata moja inayokubali kufanya
kazi, mbaya zaidi haina mfumo wa...
kuna kitu kinaitwa google adsense(not sure with the spelling) kama kuna mtu mwenye uelewa nacho naomba anielezee ni namna gani unaweza pata pesa kupitia hiyo kitu.
Swali langu la pili ni namna...
Wadau naomba mpige screenshots za apps zenu ili tuweze kushare application mbalimbali nzuri, apps zangu hizi hapa👇👇👇👇
Unaweza uliza ili upewe ufafanuzi wa app...
wapendwa ninahitaji msaada kwa ajili ya kusetup ZyXEL router kupitia zantel CDMA internet modem
PIN CODE...
APN CODE...
Dial Number...
Username...
Password...
Wakuu habari nilikuwa nahitaji kununua flat screen TV aina ya Samsung led inch 32 za kutokeaVietnam sasa nilikuwa nahitaji kujua je TV hizi zina king'amuzi cha ndani maana niliwahi ona humu...