habari wadau, nilinunua smartfone ila inatumia line ya voda tu, sasa naomba kama kuna mtu anajua, je unaweza uka flash ukatumia line zote? na uki flash hakuna side effects kwenye simu? shukrani..
WINDOWS 10 IMESHAWEKWA KWENYE KOMPYUTA MILIONI 164 KUFIKIA MWISHONI MWA 2015
Kufikia mwishoni mwa mwaka 2015 data kutoka shirika la Net Applications linaonesha hadi sasa ni takribani kompyuta...
Mitawezaje kutoa pattern cm ambayo uki press volume na power button hailet option ya ku restore na matokeo yake inawaka kabisa? au cm ya namna iyo pattern hutoka kwa computer
Prelude is a staggering 488m long and the best way to grasp what this means is by comparison with something more familiar.
Four football pitches placed end-to-end would not quite match this...
wakuu habari zenu naombeni msaada naitaji kupata application inayoweza nisaidia kirecovery sms zilifutika kwenye android device ambayo ni samsung galaxy note 4
Wakuu habari za jioni nimepata kununua simu tajwa hapo juu ila nina mashaka nayo kidogo before nilikua natumia Galaxy s4 camera ya s4 naiona mzuri kuliko hii note 2 pia kinginge application zake...
Wakuu simu yangu ya tecno m9 nikiwa naitumia inagoma na kustack na kuniandikia pale chini
Exit..........................x nimeirestore factory lakini bado tatizo halijaisha msaada tafadhali...
Nimekumbana na hii kitu kwenye simu ya tecno P5.Kuna apps kibao zinaji-install zenyewe bila ridhaa yangu plus siwezi kufanya lolote,kuandika sms tu inakuwa shida kwasababu ya interference ya hizi...
Kama una link ya Whatsapp tofauti na Gbwhatsapp yani kama Yowhatsapp,whatsmapp solo na Plus ambazo hazija pigwa burn naomba uni direct nika install
@kcamp @Mwl.RCT
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niambie upo karibu na jengo, hotel au chuo gani lenye/chenye wifi iliyo na password search katika simu yako nipe jina la ilo jengo nitakupa password yake na...
I was asking for a blog niche available in Tanzania at this moment. Since there are many blogs with same contents. Your views are very important you are welcome.
Wakuu simu ya wife haitaki kuconnect email baada ya tu ya kuremove email ya mwanzo pia hali ni ivo ivo playstore inaleta ujumbe huu ni hivi vya voda smart kicka
This is the leaked firmware which is very close to the final build, which means that there will be no additional features included in the Android 4.3 OS for Galaxy S4.
Model: GT-I9505
Country...
Wakuu em nisaidieni katika hili
Nimekua nikituma maombi ya kazi kwenda recruittanzania@dangoteprojects.com lakini kila nikituma msg inaenda ila baada ya muda narudishiwa majibu kuwa haijafika na...