Naomba msaada kwenye installation ya PES 2-2012

Naomba msaada kwenye installation ya PES 2-2012

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Mm sio mpenzi sana wa sport games.... Lakini mpaka leo naipendaga hii Pes 2012... Sijui kwanini.... It's old lakini kwangu ndo fav sport game..... Ila installation yake naona imenishinda . Nimedownload Zip files, and apk file... Nime extract ile zipi file then kuihamishia kwa memory card, kama maelezo yanavyosema... Then nika install apk..... Bt haichezi... Sijui nakosea wapi..... Chief-Mkwawa
 
kwangu mimi graphics ni kama 10% tu ya game, vitu muhimu kwangu kwenye ni game ni features (league mbali mbali) gameplay (ipo kama mpira wa kweli?) nk na hilo game linatick sehemu nyingi tu.

why ueke kwenye memory card sijaelewa hio logic.

pia siku hizi kuna psp games umejaribu kucheza kwenye simu yako? games za psp ni million better kuliko za android sema controller zitasumbua. kama unapata gamepad ya simu ya bluetooth na stand yake inakuwa vizuri.

pes2015-1.jpg
 
Nilikuwa nimeona one of the video kutoka YouTube mkuu... Ndo nikaona hiyoo .. Jinsi ya kufanya installation ya pes 2012 Chief-Mkwawa
 
Nashushaa Mortal Kombat now.... Hizo game pad wapi naweza zipata mkuu..? Nimeshusha real football hapa utata ni L na R ..... Chief-Mkwawa
 
niliwahi tafuta kkoo nimekosa, ila generic gamepad yoyote inakubali kwa android.

sijajaribu gamepad ya pc na usb adapter ila nafkiri inawezekana pia kama unapenda kumod vitu unaweza ukamod pad ya pc ukaiekea stand ukatumia kwenye simu.

ila dis advantage ya pad ya usb ni kwamba huwezi kucharge simu huku unacheza game, pad ya bluetooth ndio inakuwa nzuri
 
Nimekusoma Fresh.... Mpaka sasa nimewaza kitu mkuuu.. Modified ma own.... Kama nikachukua zile pad tunazo tumia kwa PS then nikawa na OTG drive.... Nikachomeka otg kwa simu then pale kwa otg tushazoea tunaweka flash sasa mm nikachomeka ile pad... Inawezekana kufanya kazi mkuu... Nafikiria kufanya hivooo
 
yap ikiwezekana utafute pia
1. cover la simu
2. stand ya chuma
3. waya au kibanio au kifungio kizuri.

then utengeneze kitu kama hiki
123252_x.jpg
 
Back
Top Bottom