C chajasho Member Dec 7, 2015 20 1 Jan 30, 2016 #1 Wataalam nisaidieni naweza pata wapi card ya flat screen yangu imepiga shot na haifai. Niko mkoani Njombe namba 0752048709 mwenye uelelewa nitapata wapi na kwa bei gani. Natanguliza shukurani asanteni.
Wataalam nisaidieni naweza pata wapi card ya flat screen yangu imepiga shot na haifai. Niko mkoani Njombe namba 0752048709 mwenye uelelewa nitapata wapi na kwa bei gani. Natanguliza shukurani asanteni.