The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,025
- 1,173
leo nimenunu cm mpya kabisaa tatzo liko hapa ina support 3G ila nikienda pale kwenye network mode nichague WCMD NA GSM inagoma nikiweka kwenye WCMD ONLY inagoma ila nikiweka kwenye GSM inakubali nini tatizo hapa wadau naombeni ,msaada