tumlack
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 675
- 49
Wakuu mambo vipi?
Juzi juzi nilikua nafanya update ya lg g2 ktoka kitkat kwenda android lolipop, nilifanya manualy kwa kutumia lg flash tool nikaflash kdz ya lolipop, ila baada ya flashing kumalza simu inaishia kwenye logo ya lg tu.
Nimejarbu kwenda kwenye download mode ila shida inakua haiwi detected kwenye pc, hapo ndio ninapo kwama,it seems like download mode imeingia dosari nayo.
Mwenye idea nini kifanyike naomba msaada na mawazo yenu.
Thanks