Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
Hivi kwanini Kama mtu akiwa amebanwa na mkojo alafu akawa amekaa kitako Hua mkojo hautaki kutoka ila akisimama mkojo Hua unakua na nguvu na unataka kutoka tofauti na akiwa amekaaa.
Swali:Je Kuna namna yoyote gravitational force inahusika?
Kama jibu ni ndio vipi kuhusu damu inamaana mtu akisimama kiasi kikubwa cha damu kinaenda miguuni?
Msaada kwa wajuzi tafadhari.
Swali:Je Kuna namna yoyote gravitational force inahusika?
Kama jibu ni ndio vipi kuhusu damu inamaana mtu akisimama kiasi kikubwa cha damu kinaenda miguuni?
Msaada kwa wajuzi tafadhari.