Msaada wa tablet au simu

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
Nina laki 3 naweza pata tablet mpya toka dukani,au simu yenye kioo kikubwa chenye inch kuanzia 6 naomba ushauri wenu kwa wataalamu wa simu humu
 
kama una option ya simu ni vyema utafute simu. angalia option hizi

-galaxy mega series
-xperia t2 ultra
-xperia z ultra

hio xperia z ultra pengine usiipate kwa bei hio lakini ni perfect kwa kitu unachotafuta.

galaxy mega zote na xperia t2 ultra unaweza zipata kwa budget hio.
 
Nitumie hizo pesa nakuletea lenovo 5.5 dual sim card, model 856
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom