BALYAN'EMBANZI
Member
- Nov 1, 2013
- 5
- 0
Salaam wataalam,
naomba msaada, nina generator inayotupatia umeme hospitalini kwetu ya 1.2kw kila tukiwasha inawaka vizuri na mshale wa umeme unpanda vizuri hadi 220v lakini tukiruhusu umeme circuit breaker yake inakata na kuonyesha error ya 'insulation level.'
wiring ya hospitali haina matatizo kwani ndo inatumika kwa umeme wa grid. na hili tatizo limeanza ghafla kwani mwanzoni ilikuwa inafanya kazi kawaida. aina ya generator ni ELMAG (powered by quality).
nimejaribu kurekebisha earthing yake na kufunga vizuri cable zote lakini hakuna mafanikio.
naomba kujua hii error message naweza kuiondoa vipi?