Inawezakana kuweka Video memory hii kwenye computer yangu?

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
Nina pc ambya ni intel hd graphics processor yake core i7 HD graphics sasa kuna jamaa kaniuzia PC ambayo battries imekufa mouse yake mbovu baadhi ya keyboard hazifanyi kazi almost zoote ila kaniuzia kwa bei ya hasara ina HDD 270 Ram 4GB processor yake ni AMD ATI RADION Vram yake ni 512 Mb. Hivi inawezakna kutoa hyo Video memory yake na kuiweka kwenye laptop yangu ambayo ina 64MB vram .

NB: pia pc yenyewe ni Hp kama ilivo ya kwangu.
 
ya kwako ni i7 ipi na hio radeon ni ipi?

kwa kiufupi haiwezekani ila pia napata feeling hio i7 yako inaweza kuwa na gpu nzuri kuliko hio radeon
 
Amd C 50 processor 2Cpu 1.GHZ
hii processor ipo slow sana mkuu, kama hio gpu ndio wame pair na cpu hii achana nayo tu. toa vitu vengine kama ram, hdd, mlango wa cd nk lakini usifikirie hata kuitengeneza.

cpu kama hio hata kubrowse internet itakuwa slow
 
Asantee sana mkuu kwa ushaurii
 
Back
Top Bottom