Mkuu yani sioni pa kuchange storage Kama simu nyingine.ngoja wataalamu waje watusaidieMimi nimehangaika adi sasa naiangalia tu ifanye inavyotaka maana simu imejaa nmefuta mafail weee lakini wap.msaada ndugu kwa ili tatizo.tufanyeje kuchange storage??huwezi kupdate kbisa!
Hahahahh kumbe tupo wengi!!Hii simu ni jipu kwa kweli
yaaan iko google adi nimepaclem kwa kuzurura kutfta solution ya hii kitu.wanakupa maelezo yakawaid sana ambayo kwenye cm husika hakuna!!Jaribu ku google kuna link zinaeleza vizuri
Kurrot ni safe sana you just have to onow how to. www.techackonline.blogspot.com na www.youtube.com/c/cassanovaKnT follow izo na badae ntaeka video na maelezo kwa kirefu jinsi na juu ya kurootKuroot si ni risk sana