Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Msaada kwa wale wataalam wa IT na internet. Katika email yangu ninasumbuliwa sana na hizi msg ikionyesha kuna mtu maeneo mbalimbali ya dunia mfano mexico, cambodia, brazil, slovakia argentina na nchi nyingine nyingi kwa nyakati tofauti tofauti anajaribu kusign in ktk email yangu na alert message inanitaka nibadilishe password.
1.Naomba kuuliza wataalam hichi kitu ni nini??
2. Je ni kweli kuna mtu anajaribu kusign katika email yangu na je inakuwaje leo anakuwa nchi hii siku nyingine nchi nyingine na kuendelea? 3. Shida ni nini hapa?
4. Nafanyaje kuondoa kero hii.
Asanteni..