mathsjery JF-Expert Member Sep 26, 2015 2,240 1,794 Mar 5, 2016 #1 Kwanini nilipo install w7 nikifungua inafunguka na nikiangalia inasoma normal mode kama safe mode kwa wajua hili msaada please
Kwanini nilipo install w7 nikifungua inafunguka na nikiangalia inasoma normal mode kama safe mode kwa wajua hili msaada please
mujemaso Senior Member Apr 26, 2012 112 44 Mar 5, 2016 #2 Nimeshindwa kuelewa maelezo yako. Hebu weka screenshot labda itasaidia.
Abuhunna JF-Expert Member Jul 26, 2014 407 232 Mar 6, 2016 #3 mathsjery said: Kwanini nilipo install w7 nikifungua inafunguka na nikiangalia inasoma normal mode kama safe mode kwa wajua hili msaada please Click to expand... Kuna driver unahitaji kuinstall
mathsjery said: Kwanini nilipo install w7 nikifungua inafunguka na nikiangalia inasoma normal mode kama safe mode kwa wajua hili msaada please Click to expand... Kuna driver unahitaji kuinstall
mathsjery JF-Expert Member Sep 26, 2015 2,240 1,794 Mar 6, 2016 Thread starter #4 Abuhunna said: Kuna driver unahitaji kuinstall Click to expand... Ipi bro
fergie JF-Expert Member Mar 15, 2014 280 127 Mar 6, 2016 #6 Mm laptop yangu inagoma kufanya instalation inaishia katikati inaleta error inasema kuna driver ina miss
Mm laptop yangu inagoma kufanya instalation inaishia katikati inaleta error inasema kuna driver ina miss